s s s Funguka App DOWNLOAD APP

Fahamu Ukatili. Ripoti Ukatili.

Funguka App ni kitumizi kinachosaidia kuripoti ukatili moja kwa moja kwa njia ya ujumbe au sauti pamoja na kusaidia elimu ya sheria na haki kuhusiana masuala ya Ukatili wa Kijinsia kutoka kwa wadau na wataalamu.